Msaada tafadhali

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
525
Reaction score
166
Habari gani wana JF...

Nina tatizo katika simu yangu,ni hivi hii simu imetoka singapole sizani kama bongo zipo inaitwa phicomm i813.

Napokua naitumia kwa muda mrefu inakua yamoto sana then inajizima hapo kuwaka mpaka utoe betri,au mara nyingne ikiwa ya moto inajirestart yenyewe.

NILIKUA NAOMBA MSAADA WA TATIZO LANGU KWA MTU YEYOTE MWENYE UFAHAMU NA HILI.
 

Os gani ina run hyo simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…