enzi za symbian mitandao yote minne walikua wakituma setting za internet, akaanza vodacom kuanza kutuma setting za wap sijui huyo it wao walimuokotea wapi, then naona na airtel kafata mkumbo kutuma setting za wap. hivi kweli mtu ana smartphone ya kisasa setting za wap za nini tena?
kaka tatizo la kutodownload playstore linatokana na simu yako kutumiwa setting za wap badala ya setting za internet
kuhakikisha nenda setting halafu kwenye wireless and network click more kisha nenda mobile networks halafu access point name angalia hapo setting zako sio wap?
kama ni wap bonyeza menu halafu new apn kwenye connection name andika chochote halafu apn andika internet turn back halafu activate hio uliotengeneza utasolve tatizo