Msaada tafadhali

Data given

Member
May 8, 2014
68
11
Natumia sim ya huawei G 510 lakin nashindwa kudownload application yeyote kwenye Play store mfano facebook,watsup,Nk ikiianza kudownload inasearch then inakata inaleta ujumbe huu

"Could not be downloaded due to an error (403)
 
Mkuu error 403 ni forbidden ! Response kwenye server unayotaka ku connect ! (HTTP)

Angalia network settings zako i mean Access points !
 
enzi za symbian mitandao yote minne walikua wakituma setting za internet, akaanza vodacom kuanza kutuma setting za wap sijui huyo it wao walimuokotea wapi, then naona na airtel kafata mkumbo kutuma setting za wap. hivi kweli mtu ana smartphone ya kisasa setting za wap za nini tena?

kaka tatizo la kutodownload playstore linatokana na simu yako kutumiwa setting za wap badala ya setting za internet

kuhakikisha nenda setting halafu kwenye wireless and network click more kisha nenda mobile networks halafu access point name angalia hapo setting zako sio wap?

kama ni wap bonyeza menu halafu new apn kwenye connection name andika chochote halafu apn andika internet turn back halafu activate hio uliotengeneza utasolve tatizo
 
Natumia sim ya huawei G 510 lakin nashindwa kudownload application yeyote kwenye Play store mfano facebook,watsup,Nk ikiianza kudownload inasearch then inakata inaleta ujumbe huu

"Could not be downloaded due to an error (403)

'usisahau kuja kuleta mshindonyuma (feedback) aisee ili tuone kama kweli Data given '
 
Last edited by a moderator:
enzi za symbian mitandao yote minne walikua wakituma setting za internet, akaanza vodacom kuanza kutuma setting za wap sijui huyo it wao walimuokotea wapi, then naona na airtel kafata mkumbo kutuma setting za wap. hivi kweli mtu ana smartphone ya kisasa setting za wap za nini tena?

kaka tatizo la kutodownload playstore linatokana na simu yako kutumiwa setting za wap badala ya setting za internet

kuhakikisha nenda setting halafu kwenye wireless and network click more kisha nenda mobile networks halafu access point name angalia hapo setting zako sio wap?

kama ni wap bonyeza menu halafu new apn kwenye connection name andika chochote halafu apn andika internet turn back halafu activate hio uliotengeneza utasolve tatizo

Chief mkwawa respect u sana mkuu thanks..nimefanikiwa kaka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom