Hilo ni tatizo la kawaida kwa baazi ya simu za android nmeshakutana nalo just unstall that program thn install upya na kma bado basi jaribu kufuta kla kitu, yan nenda ktk factory data resert
Sent from my BlackBerry using JamiiForums

Ni program zipi exactly? Tatizo hiyo simu ina specs ndogo sana hasa processor na RAM, kwa hiyo program ambazo ziko heavy zaidi zinakuwa hazirespond upesi, na program ya Android isiporespond ndani ya 5 sec inakuwa killed na operating system ndo maana unapata huo ujumbe.