Msaada tafadhali!

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
378
PC yangu nikiweka Cd nasikia ikizunguka but haiplay wala kuonyesha sign yoyote kama nimeweka Cd, Then hata nikitoa Cd sioni option ya DVD player kwenye PC kama ilivyo kuwa awali...Ni hayo tuu wana jamvi naombeni msaada.
 
PC yangu nikiweka Cd nasikia ikizunguka

Ni kawaida kuzunguka cd ukishaweka kwenye pc

but hai-play wala kuonyesha sign yoyote kama nimeweka Cd,

Inakutokea hivyo kwa CD zote unazoweka au moja tu? Huwa ina-play automatic ukishaweka tu kwenye pc?, kama haioneshi sign yeyote fungua My Computer itaonekana chini kabisa kwenye sehemu ya removable devices, jaribu kui-double click kama ita-play ikiwa icon yake inaonekana hapo kwenye My Computer

Then hata nikitoa Cd sioni option ya DVD player kwenye PC kama ilivyo kuwa awali...
Inawezakuwa driver yake ime-corrupt, jaribu kwenda kwenye desktop, right click My Computer, chukuwa Manage na kisha chukuwa Device Manager kisha angalia kama ''DVD/CD-ROM Drives'' ipo kwenye list au la, kama haipo right click ''Disk Drives'' na uchaguwe ''Scan for Hardware Changes (SHC)'' mara 3 au 5 mpaka itokee DVD/CD-ROM Drives kwenye list.



Kama bado haitaki kutokea download software hii na uifunge kwenye pc ambayo itatafuta yenyewe drivers zinazokosekana na kukupa option ya kuzi-download kwenye net.

Ni hayo tuu wana jamvi naombeni msaada.

Kwa sehemu kubwa hiyo driver's issue, jaribu hivyo nilivyokushauri.
 

Attachments

  • Fadhili.png
    68.2 KB · Views: 58
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…