Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

KIATUE

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
13
Reaction score
0
Ndugu nilikua na sim aina ya samsung galaxy ,nikaibiwa sim hiyo ,masaa machache tu namba yangu ikawa haipatikani ila nilikuwa nimelog in kwa kutumia facebook katika sim yangu,nadhani mtu huyo hajalog out .maana kila nikitumia device nyingine najiona niko onlinenaweza je kumpata huyo mtu hata kwa kutumia google map ?
 
Tangu umejiunga jf hii ndio post yako ya kwanza................pole sana haiwezekani, re-new line yako sasa hv usipoteze muda then kalog out!!!! Simu hauna tena ndio imeondoka hivyo!!!!
 
what is your interest so far,get back your phone or disconnect your Facebook account?kuipata simu yaweza kuwa ngumu ila nakushauri ubadili password,na disable other devices that you had logged in!
 
Back
Top Bottom