Msaada Tafadhali

Msaada Tafadhali

Chunusi za Kidevuni

New Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
4
Reaction score
0
naomba kuelekezwa jinsi ya kuperform hard reset,or kurestore factories kwa cmu yangu,model yake ni HTC TOUCH CRUISE T 4242 09,POCKET PC,os ni windows 6.1 proffesional,
pia kama inawezekekana kuchange os yake au kuchange language since its completely spanish
anyone pleaze
 
kuna website inaitwa hardreset (google) hawa jamaa wana steps hizo karibia 90% ya mobile device wako na tricks hizo ila hapa natumia mobile pamoja na hiyo issue ya lugha/upgrade kama upo bongo tz jamaa wanafanya pale kkoo kwa gharama nafuu. naweza kukupatia contact
 
Back
Top Bottom