Msaada tafadhali!!!

pepim

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
335
51
Habari wanajf wenzangu, hongereni na majukumu ya hapa na pale.....Mwenzenu nina tatizo la kukojoa sana wakati wa ucku, si chini ya mara nne kwa usiku mmoja, na tatizo lina mwezi sasa..Cha ajabu maji sinywi sana hasa wakati huo wa usiku.....MAWAZO NA USHAURI WENU NDIO MSAADA KWANGU ILI NIONDOKANE NA HILO TATIZO...Wenye weledi wa udaktari, mawazo yao ndio yatapewa kipaumbele...NIMEWASILISHA
 
umeshajizoesha na sykolojia yako ipo affected hivyo,jitahidi kuzuia hali hiyo isiendelee..kwa kuamin kwamba hutabanwa na mkojo mara nyingi wakati wa usiku,,
 
Pole kwa tatizo

Ushauri mdogo ni kwamba nenda Hospitali ukapime Sukari,kukojoa mara nyingi hasa usiku huwa ni dalili kuwa sukari yako imezidi kiwango kinachohitajika mwilini

Kama hilo la sukari sio Basi Daktari atatumia elimu yake kukusaidia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom