K kipira Senior Member Joined Aug 5, 2009 Posts 142 Reaction score 56 Feb 14, 2012 #1 Natumia blackberry curve, niki-login ktk JF cm yangu inagoma kufungua JF topic details, ninaweza ku view topics tu. Imeanza jana.
Natumia blackberry curve, niki-login ktk JF cm yangu inagoma kufungua JF topic details, ninaweza ku view topics tu. Imeanza jana.
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Feb 14, 2012 #2 Hilo tatizo hata blackbery yangu inayo, inakataa kulog in.
Adrian Stepp R I P Joined Jul 1, 2011 Posts 2,764 Reaction score 2,600 Feb 14, 2012 #3 SASA blackberry curve na jukwaa la siasa wapi na wapi??? ningekua mi ni moderator mngeisoma na akili zenu za mwana asha
SASA blackberry curve na jukwaa la siasa wapi na wapi??? ningekua mi ni moderator mngeisoma na akili zenu za mwana asha
E EL MAGNIFICAL JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 938 Reaction score 125 Feb 14, 2012 #4 kazi kweli kweli kama na bb nayo ni siasa
N nicksemu Senior Member Joined Feb 6, 2012 Posts 199 Reaction score 39 Feb 14, 2012 #5 [h=2]Jukwaa la Siasa[/h] Tanzania's Political Forum. Tafadhali hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
[h=2]Jukwaa la Siasa[/h] Tanzania's Political Forum. Tafadhali hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!