msaada-tafadhali

kipira

Senior Member
Aug 5, 2009
142
56
Natumia blackberry curve, niki-login ktk JF cm yangu inagoma kufungua JF topic details, ninaweza ku view topics tu. Imeanza jana.
 
Hilo tatizo hata blackbery yangu inayo, inakataa kulog in.
 
SASA blackberry curve na jukwaa la siasa wapi na wapi??? ningekua mi ni moderator mngeisoma na akili zenu za mwana asha
 
siasaforum_new-48.png
[h=2]Jukwaa la Siasa[/h]
Tanzania's Political Forum. Tafadhali hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

 
Back
Top Bottom