Inawezekana. .
Kila siku wanasema humu "hata tukicheat haina maana hatuwapendi wake/wapenzi wetu jamani"...sasa kazi kwako.Unaweza ukachagua kuwaamini wao, au kua na mawazo yako binafsi kuhusu hilo swala. Jiulize wewe. .. . "kama unampenda mtu wako unaweza kuwa unatembea na mvulana sijui mwanaume mwingine?!"
Swali langu ni kwamba,Mwanaume anaekupenda,yaan boyfnd and girlfnd,anaweza kuwa anatembea na msichana mwingine,then anakuambia?.Halafu nyie muendelee tu kuwasiliana?inawezekana kweli au ndo anakufukuza kijanja?