Msaada tafadhali

Living Pablo

JF-Expert Member
May 17, 2020
3,230
10,094
Wakuu naomba kuuliza je nikihifadhi picha na video zang kweny google drive itaweza kusaidia kupunguza nafasi ya kwny memory au kama kuna namna nyngn ili vitu vyangu visipotee na nafac iwepo kwenye memory
 
ukisha ziweka huko futa kwenye simu utapata space
 
Wakuu naomba kuuliza je nikihifadhi picha na video zang kweny google drive itaweza kusaidia kupunguza nafasi ya kwny memory au kama kuna namna nyngn ili vitu vyangu visipotee na nafac iwepo kwenye memory

Inasaidia kwa kiasi kikubwa sana. Kumbuka Email yako ni muhimu sana hata kama simu ikipotea.
 
Back
Top Bottom