StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,063
- 8,498
Je,kuna syllabus za Physics Practicals kwa O level na A level?.Kama ndio,je,zinapatikana wapi?
Ingia website ya necta kuna kila kituJe,kuna syllabus za Physics Practicals kwa O level na A level?.Kama ndio,je,zinapatikana wapi?
Asante nduguIngia website ya necta kuna kila kitu
Mkuu siioni.Nimeingia www.necta.co.tzIngia website ya necta kuna kila kitu
Uliza shuleni kwako km ipo physics practical manual book for o level then for advanced levelMkuu siioni.Nimeingia www.necta.co.tz