Mke wangu ana ujauzito wa miezi 3, ila kila akimaliza kujisaidia haja ndogo anahisi maumivu chini ya kitovu ambayo huwahi Sana kuisha, mwenye kujua kuhusu hili anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.