Msaada Tafadhali!

James St. Patrick

Senior Member
Jun 23, 2011
162
62
kwa yeyote anayefaham jinsi ya ku-rename permanently song details kwenye simu kama vile song name, artist, genre, year n.k! Au kama kuna app ya aina hiyo basi anisaidie! Natumia nokia 5320 xpressmusic, hii inaweza kurename kwa muda tu!
 
Mkuu navyofahamu mimi hivyo vitu huwa vinafanyika kwenye pc unaright click file la hiyo nyimbo utakuta properties unaclick hiyo properties utakuta detail zote za hiyo nyumba so hapo unaweza kuirename utakavyo hii njia ndio itafanya jina lanyimbo husika lionekane kwenye simu hasa nokia sio za mchina maana simu za mchina ni kanyaga twende.
 
nenda m.mobile9.com ukimaliza jaza information za your phone search mp3 edit,but sidham kama itakubali kwenye phone yako
 
Back
Top Bottom