Msaada Tafadhali

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Nataka kufanya tour na wanafunzi wangu huko kwenye Makumbusho ya Isimila Iringa. Wiki ya Pili Sasa nahangaika kupata mawasiliano yao lakini hola. Nasearch website yao siipati. Lengo niweze kutoa taarifa na kupata muongozo. Kwa yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali Sana.

Mungu awe nanyi daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…