Nafkiri hujamuelewa alichouliza aisee.
Kwanza kabisa huyu ni new member na post alizo-post mpaka nnapoandika hii comment ni post 3 tu anazo ukijumlisha na Thread 1 tu ambayo ndio hii.
Sasa anachotafuta yeye ni post ya mtu mwengine ambayo imepostiwa zamani sio post yake.
Alitakiwa aende sehemu ya ku-search aandike keywords anazotafuta kutokana na hiyo post anayosemea, lakini pia atumie filter ili ieleweke anachotafuta ni TOPIC au COMMENT/POST zitakuja nyingi then ataangalia anachokitaka. Sasa inategemea anatumia browser au app ya JF ndio mana nikamuuliza anatumia nini kuingia JF...?
Nadhani utakuwa umenielewa vizuri.