Naomba kujua historia ya mwanamke aliyetekwa kipindi cha ukoloni kule kusini mwa afrika na kupelekwa nchini Ufaransa kutumikishwa ngono mpaka kupelekea kifo chake. Nimesahau jina lake.