Bandugu,
Nina ka-assignment kidogo cha binafsi kuandika, nahitaji sehemu ya kwenda kufanyia hiyo kazi lakini pia iwe ni kama 'vacation' kwangu.
Sifa zake angalau ziwe:
- Malazi yasizidi elfu 50 kwa siku
- Kuwe na Wifi
- Kuwe na vivutio karibu ambavyo jioni naweza tembelea kwa ajili ya ku-recharge..vivutio kama beach, mto, zoo, shopping centres etc
- Mitandao ya simu iwe inashika kwa uhakika hasa Tigo na Airtel
- Isiwe Dar es salaam au Mkoa wa Pwani
Any idea?
Ahsanteni