Mkuu nenda kwenye ATM yoyote iliyo karibu nawe yenye LOGO ya VISA itatema hela. Ila wakati mwingine kuna Bank zinataka uwaarifu kuwa utasafiri nchi za nje na baadhi ya nchi utakazotembelea. Hii ni kwa ajili ya kukulinda na vibaka wa mitandaoni.Niko na Visa kadi ya CRDB hapa Nairobi-Kenya.. Je naweza kutoa hela Bank gani? Kama kuna mwenye kujua anisaidie..
Asante Mtukufu