Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

mournyrutta

Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
51
Reaction score
11
Habari zenu naombeni kama kunamtu ana namba ya simu ya chuo cha tumaini darsalaam TUDARCO hapo ofisini kwao anipatie tafadhali ya simu ya mkononi na si yamezani nitashukuru sana.
 
Jamani wanajamii naombeni mnisaidie kulingana na icho nilichouliza
 
Back
Top Bottom