Nime discontinue (disco) vipi ninaweza omba nafasi na wadogo zang kuanzia tarehe 12 .msaada ndugu zang maana nilipatwa na matatizo nikajikuta nafanya mitihani vibaya

Jamani naomba kuuliza Mimi nimeomba BVM,ANIMAL SCIENCE CHUO CHA SUA PAMOJA NA COURSE NYINGINE KWA VYUO VINGINE,JE NAWEZA NIKAPATA KWA USHINDANI ULIOPO MANA NILIPATA GPA YA 4.3 ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION NA OLEVEL NILIPATA DIV 2 YA 21?
Nadhani anasema kuwa amefeli kwahiyo haruhusiwi kuendelea kusoma tena chuoni hapo alipo kwa sasa, ila anauliza je inawezekana kuapply upya akasoma na watakao ingia mwaka huu first year(hao ndio wadogo zake)? Kama nimemuelewa vizuri na huo tu ndio mchango wangu kwa sasa.