Nimenunua memory card mpya ya ukubwa wa 4 GB but kila nikitaka kuingiza nyimbo kwa kutumia computer inashindikana na napata ujumbe huu, "THE DISK IS WRITE-PROTECTED, REMOVE THE WRITE-PROTECTION OR USE ANOTHER DISK" Je nitawezaje kuondoa hiyo "WRITE-PROTECTION" ili niweze kuingia nyimbo na vi2 vingine? Naomba msaada wa kiufundi hapo wakuu!!