Salamu wana JF.nina TV aina ya hitachi.niliinunua mwaka 2006 mwezi september(New brand).huitumia marakwamara.lakini leo naona ile taa nyekundu inawaka kama indicator(inawaka na kuzima).kwa kawaida taa hiyo huwaka ikiwa TV imezimwa na mara niwashapo huzima,lakini TV huonesha picha kama kawaida.hataleo picha naziona kama kawaida.naombeni msaada tafadhali.
Ngoja tumalizie msosi,kisha tujadili gesi ya mtwara,tukimaliza kuna issue ya ma billion ya uswis,kisha kinana na pembe za tembo wetu alizoiba,then tutafikiria kuhusu matusi ya mwigulu,kama vipi tutakujibu baada ya yote,week end njema.