Inawezekana uko sahihi.
Mama Samia hakuwa na hata Noto ya kuamka siku moja kuwa Raisi., Kwa hiyo inamuwiavigumu ku cope nakwa vile hakuwa na mkakati binafsi ,anajaribu kujijengea uwezo, na plan ya kuendesha nchi.
Mpungufu yote tunayo yaona ni kwa sababu hiyo.
Hata hivyo anafanya vizuri tuu Anajitahidi sana kurekebisha kila anapowenda kombo, na tuna muelewa .Mzigo alioubeba si mwepesi kama unavyo dhania. Sasa yeye anaongoza nchi huku akijaribu kujenga mkakati ,si hoja kumuona anabadili gia angani, na wakati mwingine hata kurudi revasi ili kuweka mambo sawa.
Ondoa Hofu Katiba mpya Ipo inakuja, na Mbowe atatolewa tuu pale usanii utapomalizika.
Hii ni nafasi ya kumuacha Mama avute Pumzi wakati munapambana na Kesi mahakamani. Bila ya hivyo mungelimchanganya ,mama wa watu ,uraisi wenyewe wa kudapia njiani si wa kujipanga.
Pole sana