km alivokushauri njiwa dada yangu nenda kw neurologist, inawezekana una maradhi ya kichwa ya migren wanawake wengi huwapata, kichwa cha migren maumivu huanza upande moja thn yanaenea kichw kizima, unahisi kichefu chefu?unatapika? kbla kichwa kuuma unapata sign yoyote km kuona vinyota nyota? au kuhisi kitu km sauti?
if its migren doctor atakupa dawa pia kuna vyakula itabidli uwe huli