Msaada Tafadhali setting nipate net kwene Android yangu

Msaada Tafadhali setting nipate net kwene Android yangu

kimugina

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,142
Reaction score
577
Habari wakuu,
Naomba kuelekezwa namna ya kufanya setting ilinipate kutumia Internet kwene Android yangu,Model yake ni SB-708,

Nimejaribu kucopy APN za tecno inafungua ndio lakini ipo slow sana sana, Msaada tafadhali
 
Kaka android ni OS sio jina la simu
.
Na unaposema SB-708
nikama mtu aka kwambia N97
.
lakini ni NOKIA N97
hebu tuambie aina ya simu mana inaweza ikawa haina 3G we ukaona ipo slow kumbe ndo hali halisi
.
 
sawa kaka nimekuelewa,
jina nyuma imeandikwa Straw berry,na kuhusu 3G nikienda kwenye Mobile network setting ,kuna sehem Inaniambia 3G dongle Enable nikiipa tiki haikubali
 
Back
Top Bottom