Wakuu tafadhalini naombeni msaada rolling ball ya blackberry niliyoitaja hapo juu rolling ball yake haiendi chini inaenda kulia na kushoto kwa hiyo nashindwa kuelewa nifanyeje,nimefumbwa macho nawategemeeni nyie...natanguliza shukrani kwenu.
Mkuu inaitwa Trackball. Km unaweza ichomoe na uangalie km ina uchafu then safisha..km huwezi mpeleke fundi akurekebishie au anaweza kukushauri ununue trackball nyingine coz zinauzwa. BB zenye trackball huo ndo ugonjwa wake mkubwa that's why jamaa wakaamua kutoa BB zenye sensor.
Mkuu nenda youtube kuna video zinaelekeza vizuri jinsi ya kuifungua na kuisafisha track ball za bb Kama mtundu kidogo utaweza kama huwezi peleka kwa fundi au nunu track ball nyingine Natumia simu siwezi kukupa link