Kweli mkuu. Hata mie nilitaka nimpe ushauri unaofaa nikasita kidogo baada ya kuona ameshajichauglia watu wa kumjibu... Ngoja hao watu wake waje hapa kumfaa...Sie tunaofanyia ubalozi tulitaka kukujibu,but coz kuna majina umeyapa kipaumbele ngoja waje kukujibu hayo maswali yako...
Kuna na wengine mnaofahamu hapo mkuu.Sie tunaofanyia ubalozi tulitaka kukujibu,but coz kuna majina umeyapa kipaumbele ngoja waje kukujibu hayo maswali yako...
Wabongo kwa "uchoyo" na kutafuta visababu kama utetezi hatujambo.Kweli mkuu. Hata mie nilitaka nimpe ushauri unaofaa nikasita kidogo baada ya kuona ameshajichauglia watu wa kumjibu... Ngoja hao watu wake waje hapa kumfaa...
Aingie PM kwa hao aliowataja.Sie tunaofanyia ubalozi tulitaka kukujibu,but coz kuna majina umeyapa kipaumbele ngoja waje kukujibu hayo maswali yako...
Ngoda gani?Wabongo kwa "uchoyo" na kutafuta visababu kama utetezi hatujambo.
Amewataja hao kama ili kuhimiza notification kwao ili wasome na ikibidi wamsaidie majibu, lakini hakuna zuio kwa yoyote mwenye uelewa kutoa majibu kama anayo.
Msaidieni Ndugu yetu huyo kama mnao uwezo wakufanya hivyo. Acheni kutafuta visingizio.
....NA WENGINE WANAO.....labda mi sielewi lugha!Sie tunaofanyia ubalozi tulitaka kukujibu,but coz kuna majina umeyapa kipaumbele ngoja waje kukujibu hayo maswali yako...
Umeona eeh, nina wasiwasi LUBEDE atakuwa hafanyi kazi ubalozini maana si kwa maneno hayo.Jamani katika uzi wake,amemalizia kwa kusema,na wengine mnaofahamu "naomba" mnijuze!
Kuna watu wana hila jamani,kama ndugu wa mume![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ngoja waje wanaofahamu Mishe hizi, Mimi niliomba tu kama kawaida kupitia website yao nikafuata taratibu zote walizotaka .Jamani hivi hii ishu us US Green Card huwa ina vigezo gan vya kuzingatiwa esp kwa mtu ambaye hajafanya Test of English as a Foreign Language..
Yaan mtu asiye na chet cha kufanya hiyo mitihan huwa wanamkubalia..??
OK sawaMkuu ngoja waje wanaofahamu Mishe hizi, Mimi niliomba tu kama kawaida kupitia website yao nikafuata taratibu zote walizotaka .
Sie tunaofanyia ubalozi tulitaka kukujibu,but coz kuna majina umeyapa kipaumbele ngoja waje kukujibu hayo maswali yako...
Cc izzoHabari ya jumapili Ndugu zangu, niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka Jana mwezi wa kumi na moja nilicheza US green card lottery na mwezi huu wa tano nimefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza unaofanywa na Kentucky Consular Center (KCC) niliingiza confirmation number katika website ya dvlottery.state.gov nikakuta barua kuwa nimefanikiwa kuchaguliwa, lakini ile barua inasema kwamba kuchaguliwa katika mchujo huu haimaanishi kuwa tayari nimepata visa hapana bado kuna hatua nyingine za kufuata ili kuwezesha kupata visa. Pia ile barua inasema kuwa kuna form inaitwa DS-260 Immigrant visa and Alien Registration Application, kwahiyo mpaka sasahivi bado sijaelewa hiyo form ninaipata wapi na baada ya hapo nini kitafuata?, je, ni vitu gani vya kuzingatia ili niweze kushinda na kupata visa. Msaada wenu ndugu zangu ni wa muhimu sana.
Cc: BAK, Nyani ngabu, Mzizi mkavu, ogah, masanja na wengine ambao wanafahamu mambo haya naombeni mniambie. Mbarikiwe sana.
The "motive" please!Ngoda gani?