St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
Naomba kwa mtu yeyote mwenye kujua process anieleweshe ikiwamo Licence fees na mengineyo.Na pia kama kuna yeyote mwenye sehemu ya kupangisha(inayofaa kwa shughuli hiyo) kati ya Kimara au Tegeta tuwasiliane kwa majadiliano zaidi..