Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 683
- 455
let me try, gonga hapa
asante.maana mimi najua link kwa simu tu.juzi nimeshindwa kumuwekea mtu link humu ikanibidi nitoke kwanza nilogin kwa simu ndiyo niweke link na kurudi kwenye computer.
HAPA
Asanteni jamani nimefurahiiiii kuona kumbe kuna kitu na mimi nilikua najua wenzangu hawajui, na nimewaeleza hadi wameelewa.
Leo na mimi nimeonekana mjanja JF... :lol:
Mr .Cool!
Hebu nawe tupe darasa hili ktk simu!
Tafadhali Mr
poa mkuu ni hivi.
Unaandika
(url="www.jamiiforums.com")HAPA(/url)
yani ndani ya quotation ndiyo unaandika website unayotaka kuiwekea link then pale nilipoandika HAPA ndiyo unaandika maneno ambayo yajitokeze hapa kwenye post. Pia most important step. Kwenye zile bracket za hvi ( ) zibadilishe ziwe square bracket yani ziwe bracket za [ ]. Zipo bracket nne za hvi ( ) so zote zibadilishe ziwe hivi [ ] .Nimeweka bracket za hvi ( ) ili niweze kuelezea mkuu maana ningeweka za hvi
[ ] ingetokea link yenyewe halafu usingeweza ona mfano wa link kwa simu inawekwaje.
- kwanza kabisa fungua huo ukurasa unataka mtu apelekwe. Alafu copy link ya huo ukurasa (pale juu palipo andikwa www.[....].com)
- pili andika text yako, na uandike kama ulibo andika 'bonyeza HAPA'
- tatu, select neno 'HAPA' kisha ubonyeze kitufe cha hyperlink (unaona pale unapo badilisha rangi ya maandishi? a bold capital A? chini yake kuna kitufe cha dunia kimepigwa X neykundu, kulia kwake kuna kitufe cha ishara ya dunia, na kitu kama number nane imelala. ndio kitufe cha hyperlink).
- nne: ukibonyeza hapo utana kuna sehemu ya kuweka link, right-click hapo, paste. kama ulicopy vizuri, utapast link adress
- tano: gonga enter, the link is there
- post.
- kwanza kabisa fungua huo ukurasa unataka mtu apelekwe. Alafu copy link ya huo ukurasa