Msaada tafadhali namna ya kufungua blog

Msaada tafadhali namna ya kufungua blog

Za saiz wadau
Naomba mnisaidie jinsi ya kuweka neno "read more" kwenye blog ukiwa umeifupisha habari.
Na pia kuweka neno bonyeza "hapa" badala ya link
Natanguliza shukran wakuu...
 
Back
Top Bottom