Msaada tafadhali; Nahitaji Helkopta ya kukodi Mwanza



Me nadhan wakuache tu na hela zako manaake daah!!! Hizo hela ni zako kama huna cha kumshauri jamaa basi just shut up ur poor mouth....me sioni tatizo hapo kwa mtu kutumia mihela yake!!!! Mumuwacheeeeee
 
Baadae atarudi humu kwa ID nyingine na kusema "Nina mtaji wa 1ml nifanye biashara gani inilipe" sifa zingine Aiseee!
 
Baadae atarudi humu kwa ID nyingine na kusema "Nina mtaji wa 1ml nifanye biashara gani inilipe" sifa zingine Aiseee!

Nadhani alikua anatania tu, nimempa namba yangu anipm lakini anaonekana ovyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…