Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
- Thread starter
-
- #21
Mkuu jiyahidi kuwa mkweli, naanza kuungana na wanaosema unahitaji mwanasaikolojia.
Mwanzoni tu ulisema ulikuwa baba kabwela na ulikuwa tayari na "mke", , vipi unataka kuoa tena?
Unanikumbusha kitabu cha zamaaani"DARUBINI-UJINGA WA MWAFRIKA"
Nitafute kwa wassup +61424679013 shida yako imeisha
Unachekesha kweli wewe,nyumba zote za kapripoint zinalingana bei? Unajua huyo aliyeniuzia kwa nini kauza kwa bei hiyo? Ana mgonjwa mke wake yu mahututi sana anatakiwa kuwahishwa India kwa matibabu nyumba ilikuwa mil 220 hadi akalegea nikatoa hiyo 130 cash,walikosekana wa kumpa zote cash ikabidi awe mpole,jaribu kuwa na akili wewe,ukiwa na shida na una nyumba ya mil 350 huwezi kuiuza kwa bei hiyo lazima ishuke,wewe umekulia dunia ipi?
Hivi we jamaa unahela kuliko mimi, mana mimi nimefisadi somewhere kitu kama cha 8.4 bilion halafu nipo kimya kimya tu.
Kweli kuna mtu ajifanyaye tajiri ili hali ni masikini, na kuna ajifanyaye masikini kumbe ni tajiri.
mimi ninayo ila imekodiwa na moods wameenda kuangalia pambano la Century la MANP na FMAY
Wanajamvi,
Baada ya mihangaiko ya muda mrefu ya maisha hatimae nimebahatika kupata pesa nyingi sana kupitia machimbo ya dhahabu ambayo ni zaidi ya miaka mitano nahangaika kuchimba,naposema nimepata pesa ni pesa kweli si mchezo.
Nina mke wangu aliyenivumilia miaka mingi sana na hajawahi kunitenda pamoja na shida zote,sasa eneo ninaloishi la Msalala mkoani Geita nilidharaulika sana na watu.
Nataka kufunga ndoa ikifuatiwa na sherehe ya adabu ambapo nimetenga milioni 30 ili watu wale na kunywa bure,nataka ktk ndoa yangu niwasili eneo la sherehe na helkopta ili watu waniheshimu maana walinidharau sana.
Anayejua helkopta ilipo na inakodishwa kwa sh ngapi kutoka hapa Mwanza hadi Msalala tafadhali anisaidie ili niwaone wahusika na helkopta yenyewe.
TAHADHARI: Matapeli kaeni mbali msidhani mimi ni mshamba wa kuweza kunitapeli,nipo makini sana kuliko kawaida.
Kwa sasa nipo Kampala,natarajia kuwa Mwanza Mjini Jumatatu ya tarehe 4.
Sitaki dharau ktk kunisaidia kupata hiyo helkopta,kama huwezi pita kimya tafadhali sana.
Mwenye hela hawezi kuandika maelezo meengi ,utadhani unaomba kazi tena,,.ww bado mchimba chumvi tuu.
Kiongozi,
Nita ku pm namba yangu naomba unitafute Jumatatu kwa simu au watsup ukisha rudi Mwanza.. nitakusaidia hiyo kazi.
Naweza kukushauri baada ya kuchati
1. Naweza kujua uwanja wa Ndege wa karibu zaidi na nyumbani kwako unaitwaje?
2. Eneo unalo pendelea Helcopter ishukie linatakiwa liwe wazi kama kiwanja cha mpira (hata kile cha kawaida cha shule ya msingi), ila lisiwe na miti mirefu sana
3. Unahitaji hiyo helcopter kwa muda mrefu kiasi gani nk
tutachati
Wanajamvi,
Baada ya mihangaiko ya muda mrefu ya maisha hatimae nimebahatika kupata pesa nyingi sana kupitia machimbo ya dhahabu ambayo ni zaidi ya miaka mitano nahangaika kuchimba,naposema nimepata pesa ni pesa kweli si mchezo.
Nina mke wangu aliyenivumilia miaka mingi sana na hajawahi kunitenda pamoja na shida zote,sasa eneo ninaloishi la Msalala mkoani Geita nilidharaulika sana na watu.
Nataka kufunga ndoa ikifuatiwa na sherehe ya adabu ambapo nimetenga milioni 30 ili watu wale na kunywa bure,nataka ktk ndoa yangu niwasili eneo la sherehe na helkopta ili watu waniheshimu maana walinidharau sana.
Anayejua helkopta ilipo na inakodishwa kwa sh ngapi kutoka hapa Mwanza hadi Msalala tafadhali anisaidie ili niwaone wahusika na helkopta yenyewe.
TAHADHARI: Matapeli kaeni mbali msidhani mimi ni mshamba wa kuweza kunitapeli,nipo makini sana kuliko kawaida.
Kwa sasa nipo Kampala,natarajia kuwa Mwanza Mjini Jumatatu ya tarehe 4.
Sitaki dharau ktk kunisaidia kupata hiyo helkopta,kama huwezi pita kimya tafadhali sana.
moods ni akina nani?