Msaada tafadhali, nahisi kutapeliwa na kampuni ya Global Delivery iliyopo Airport

getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,148
2,000
Wakuu kuna kampuni inaitwa Global derivery ofisi namba 67 aiport Dar es salaam.
nahisi harufu ya kutapeliwa hapa.


Hii kampuni wanadai wao ni wasafirishaji wa mizigo wa kimataifa wapo ofisi namba 67 uwanja wa Ndege Dar es salaam.

Kilichonifanya nitakae kujua na kuhisi harufu ya utapeli kuna mzigo wanaodai wame upokea unaotakiwa kutumwa tena Nchi nyingine ambayo kwa sasa nipo na wanataka walipwe pesa zote hapo Dar ili niweze kupokea mzigo huku nilipo..
swali langu je kuna ofisi ya aina hiyo hapo JKIA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom