Msaada tafadhali mpenzi wangu simuelewi

Kwani lazma hiyo kitu mm mnaniudhi wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka zingatia bandiko lako la mwezi wa tisa mwaka jana kabla sijakushauri chochote..


KAKA ZANGU
Mwanamke pekee unaeweza mmiliki ni binti/mwanao wa kike tu
DADA ZANGU
Mwanaume pekee unaeweza kummiliki ni your SON tu.....
ZINGATIA ILO WENGINEO NI KAZI YA ZIADA TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha aisee mbona uongo wa kijinga sana huo?

Nafasi ya mama yake weka kidume mwenzio, huenda ndo anayemkagua kila siku kama mbunye yake imetafunwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…