Salaaam kwa wote wanaJF.
Leo nimepewa penzi lakini kilichonishangaza baada tu ya kuanza kulila mashine(M.b.o.o.) yangu ikawa imetulia tuliii wala haikutaka kujua kinachoedelea. Kiufupi ilala na kujipumzisha kabisaaa sasa najiuliza nini tatizo maana kabla ya hapo ilikuwa imewaka paaa tena kwa nguvu sana! Nilishangaa shangaa tu kwa kweli kuna mengi na hisi japo sina huakika nayo kama ni kweli yanaweza kawa ni chanzo. Nisaidieni
1. Nilikuwa na njaa maana toka hasubuhi nilikuwa sjanywa hata chai yenyewe..
2. Ilikuwa haraka hara sana maana mwenye kunipa alikuwa anataka kuwahi
3. Nipeni ushauri nifanyeje hapa kama sio haya hapa juu