msaada tafadhali kwa wanafunzi wanaosoma medicine

STALLEY

JF-Expert Member
May 5, 2012
618
206
nauliza kuhusu qualification za medicine eti div 3 ya 16 unaweza kwenda medicine au alternative way ni ipii
 
Nenda IMTU, MUHAS utaishia Semister ya kwanza, Sapu za Anatomy, Biochem, Physiology, Behavioral Science hadi DS hazita kuacha, but anyway GOODLUCK.
 
Bwana mkubwa bugando na Kairuki wana kozi kabla ya kuanza kwa watu wenye matokeo kama yako,so tembelea website zao,.

Mimi nawashangaa watu wengine kuandika vitu ambavyo havisaidii. Wanailalamikia serikali lakini wao wenyewe hawataki kuwa smart.
Bila shaka hata wenye majukumu hawaoni aibu kwa sababu vijana wenyewe wanaotakiwa kuonesha smartness wamelala. Imagine mtu na masomo yake chuoni anapata muda wa kupoteza. BADILIKENI
goodluck
 
hi! do not be discouraged by less/little thinking people! there is a very great number of medical doctors who did not score even that what u av scored. our universities have such people, Buganda for instance has a course 4 the people of ur likely performance and they become qualified and needed doctors in our society.

ur performance should not lead u to inferiority complex nor the suggestions of some people who are less informed in this thread. div 3.16 doesnot mean that ur incapable. try and u will see!
 
Nenda IMTU, MUHAS utaishia Semister ya kwanza, Sapu za Anatomy, Biochem, Physiology, Behavioral Science hadi DS hazita kuacha, but anyway GOODLUCK.

we hata mwaka 2007na 2008 form six walipochemka sana hawakuchukua hizo division. Labda kupitia tcu inawezekana maana hata necta enzi za special scul unakuta mtu na divsn 3 yupo huko na ccc wakati wenye abb wanapelekwa ulayasi. Ushauri wangu kaanzie diploma ya clinical medicine ndo uanze kupanda upya. Labda vyuo vya tcu visivyo hata na teaching hospital unaweza kupata(tz nji ya ajabu sana!). Vinginevyo wahi education unaweza kupata
 
hi! do not be discouraged by less/little thinking people! there is a very great number of medical doctors who did not score even that what u av scored. our universities have such people, Buganda for instance has a course 4 the people of ur likely performance and they become qualified and needed doctors in our society.

ur performance should not lead u to inferiority complex nor the suggestions of some people who are less informed in this thread. div 3.16 doesnot mean that ur incapable. try and u will see!

thanx bro
 
Back
Top Bottom