Msaada tafadhali kwa wajuvi wa Microsoft word, I'm a beginner

Albert Einstein

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
384
560
Habari zenu
Nipo hapa ofisini nimekwama kuandaa document muhimu sana
Tafadhali kwa anayejua namna ya kutengeneza Multilevel list ya mtindo huu
Mfano
1. (a) ________________
(b) ________________
(c) i) _____________
ii) _____________

Tafadhali anayejua tusaidiane, yaani kuandika namba ikifuatia na bullet letter in the same line

Ahsanteni
 
Habari yako, pole kwa tatizo. Nitumie Ujumbe WhatsApp 0672 999 266 nikutumie video ya maelekezo [ BURE ]
 
Habari zenu
Nipo hapa ofisini nimekwama kuandaa document muhimu sana
Tafadhali kwa anayejua namna ya kutengeneza Multilevel list ya mtindo huu
Mfano
1. (a) ________________
(b) ________________
(c) i) _____________
ii) _____________

Tafadhali anayejua tusaidiane, yaani kuandika namba ikifuatia na bullet letter in the same line

Ahsanteni
Tafuta tutorial videos kutoka YouTube. Utazikuta nyingi tu.
 
Back
Top Bottom