Wakuu habari zenu, naomba msaada, ni kuhusu tatizo alilonalo mke wangu.
Ana ujauzito wa takribani wiki 7 tatizo lake nikwamba anusumbuliwa na tumbo sana eneo la kuzunguka kitovu, hata baada ya kula kidogo tu anahisi maumivu ya tumbo sana, tatizo hili liliwahi kutokea na kupelekea ujauzito kuharibika na sasa limeanza mapema tu baada kupata ujauzito hadi napata hofu.
Nilipompeleka hospitali nilijibiwa kuwa ni dalili za kawaida kwa mjamzito na anapaswa kupunguza kazi ngumu na apate muda wa kutosha kupumzika, lakini anaweza kuwa amejilaza siku nzima lakini tumbo likaanza kumsumbua hadi analia sana.
Naomba kwa anaefahamu tatizo hili anisaidie tafadhali.
Nasikitika kukuambia watu wengi tanzania tunaugua magonjwa sugu sababu ya majibu kama hayo toka kwa madaktari.Wakuu habari zenu, naomba msaada, ni kuhusu tatizo alilonalo mke wangu.
Ana ujauzito wa takribani wiki 7 tatizo lake nikwamba anusumbuliwa na tumbo sana eneo la kuzunguka kitovu, hata baada ya kula kidogo tu anahisi maumivu ya tumbo sana, tatizo hili liliwahi kutokea na kupelekea ujauzito kuharibika na sasa limeanza mapema tu baada kupata ujauzito hadi napata hofu.
Nilipompeleka hospitali nilijibiwa kuwa ni dalili za kawaida kwa mjamzito na anapaswa kupunguza kazi ngumu na apate muda wa kutosha kupumzika, lakini anaweza kuwa amejilaza siku nzima lakini tumbo likaanza kumsumbua hadi analia sana.
Naomba kwa anaefahamu tatizo hili anisaidie tafadhali.
Rejea ujumbe wa Lukonge hapo juu, Ni muhimu sana.Nilipompeleka hospitali nilijibiwa kuwa ni dalili za kawaida kwa mjamzito na anapaswa kupunguza kazi ngumu na apate muda wa kutosha kupumzika, lakini anaweza kuwa amejilaza siku nzima lakini tumbo likaanza kumsumbua hadi analia sana.
===Nilipompeleka hospitali nilijibiwa kuwa ni dalili za kawaida kwa mjamzito
Cha kwanza kabisa kama hana bima ya nhif basi jitahidi ukate ya NHIF.Wakuu habari zenu, naomba msaada, ni kuhusu tatizo alilonalo mke wangu.
Ana ujauzito wa takribani wiki 7 tatizo lake nikwamba anusumbuliwa na tumbo sana eneo la kuzunguka kitovu, hata baada ya kula kidogo tu anahisi maumivu ya tumbo sana, tatizo hili liliwahi kutokea na kupelekea ujauzito kuharibika na sasa limeanza mapema tu baada kupata ujauzito hadi napata hofu.
Nilipompeleka hospitali nilijibiwa kuwa ni dalili za kawaida kwa mjamzito na anapaswa kupunguza kazi ngumu na apate muda wa kutosha kupumzika, lakini anaweza kuwa amejilaza siku nzima lakini tumbo likaanza kumsumbua hadi analia sana.
Naomba kwa anaefahamu tatizo hili anisaidie tafadhali.
Mungu atawajaalia, hapo hospital itawapa ufumbuziasante mkuu. Hatuna mtoto
Ni kawaida kweli hawajatania.Wakuu habari zenu, naomba msaada, ni kuhusu tatizo alilonalo mke wangu.
Ana ujauzito wa takribani wiki 7 tatizo lake nikwamba anusumbuliwa na tumbo sana eneo la kuzunguka kitovu, hata baada ya kula kidogo tu anahisi maumivu ya tumbo sana, tatizo hili liliwahi kutokea na kupelekea ujauzito kuharibika na sasa limeanza mapema tu baada kupata ujauzito hadi napata hofu.
Nilipompeleka hospitali nilijibiwa kuwa ni dalili za kawaida kwa mjamzito na anapaswa kupunguza kazi ngumu na apate muda wa kutosha kupumzika, lakini anaweza kuwa amejilaza siku nzima lakini tumbo likaanza kumsumbua hadi analia sana.
Naomba kwa anaefahamu tatizo hili anisaidie tafadhali.
Nitafute NIKUSAIDIEWakuu habari zenu, naomba msaada, ni kuhusu tatizo alilonalo mke wangu.
Ana ujauzito wa takribani wiki 7 tatizo lake nikwamba anusumbuliwa na tumbo sana eneo la kuzunguka kitovu, hata baada ya kula kidogo tu anahisi maumivu ya tumbo sana, tatizo hili liliwahi kutokea na kupelekea ujauzito kuharibika na sasa limeanza mapema tu baada kupata ujauzito hadi napata hofu.
Nilipompeleka hospitali nilijibiwa kuwa ni dalili za kawaida kwa mjamzito na anapaswa kupunguza kazi ngumu na apate muda wa kutosha kupumzika, lakini anaweza kuwa amejilaza siku nzima lakini tumbo likaanza kumsumbua hadi analia sana.
Naomba kwa anaefahamu tatizo hili anisaidie tafadhali.
Ulifanyaje akapona inaweza saidia na wengine au ilikuwa kawaida kama walivyosema madaktari?nashukuru kwa utayari wako ...Namshukuru Mungu kwani alipona na alijifungua mtoto salama ..ingawa miezi mitatu ya mwanzo wa ujauzito ilikuwa changamoto sana
inawezekana ilikuwa kawaida au haikuwa kawaida kwani zilitumika njia kadhaa kama ifuatavyo:Ulifanyaje akapona inaweza saidia na wengine au ilikuwa kawaida kama walivyosema madaktari?
Noted 😀😀😀😀inawe
inawezekana ilikuwa kawaida au haikuwa kawaida kwani zilitumika njia kadhaa kama ifuatavyo:
>hospitali walikuwa wanasema ni kawaida ujauzito siku za mwanzo huwa unapambana kujishikiza kwenye mji wa mimba...jambo hili huleta usumbuku kiafya kwa mjamzito na anapaswa kuumzika vya kutosha wanaita bedrest tena wakaniomba nisimfanyie matibabu yoyote bile kupata ushauri kutoka kwao..yani hata akapata mafua nisimpe dawa hadi niwaone wao...NILIZINGATIA HILO
>wazungu wanasema old is gold na sisi tunasema utu uzima ni dawa..kwa ushirikiano wa kutoka familia yake yaani wazazi wake na familia yangu walijitahidi kukutafuta dawa za miti shamba kwakweli alitumia dawa inagwa sijui ilikuwa ni miti gani..alikuwa anachemsha anakunywa.niliamini kiasi kwakuwa aliwahi kuniambia bibi yake alikuwa ni mkunga wa jadi na alikuwa anafahamu ABC za mitishamba kwahiyo nikajua lazima na familia itakuwa inafahamu kiasi dawa mbalimbali
ilimchukua miezi miwili kuwa sawa lakini alikwa kakonda sana kutokana na tatizo lilikuwa linamfanya ashindwe kula kwani chakula.
sasa sijui aliponeshwa na miongozo ya madaktari au miti shamba.