Msaada Tafadhali juu ya kupiga window

Msaada Tafadhali juu ya kupiga window

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,705
Reaction score
10,209
Shikamoo wakubwa zangu

Jamani samahani sana kwa usumbufu nilikuwa napiga window kwenye Pc ni Dell ila sasa ikifika pale kwenye kuinstall inahesabu hadi asilimia 35 hivi halafu inasema "window can not be installed because there is missing files"
Mwanzo nilijua ni shida ya flash au window lakini nimejua hivyo sio shida kwani kama flash nimebadili kama 5 hiv ila shida ni ile ile na hata window nimechukua hadi za wenzangu ila bado zinazingua tu.

Sasa jamani naomba mnisaidie nifanyaje kuisolve issue hii

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa
 
Tafuta setup/ copy nyingine ya windows. Hiyo inaonelana haina baadhi ya files au files zipo ila zipo damaged
 
Beberu, Windows siku hizi zinakuwa kwenye format ya .iso Sasa yawezekana hiyo copy uliyokuwa nayo haijatimia baadhi ya files tena za muhimu. Fanya kudownload nyingine au tafuta mtu ambaye ako na nyingine isiyo na kasoro akusaidie

Goodluck..!!

Sent from my TECNO KC6 using Tapatalk
 
Tafuta window ambayo ipo zipped au iso file kuepuka ku copy na ku paste kwa window files kwa njia ya kawaida, ukishindwa kabisa ukabaki na option ya kucopy na kupaste kwa kawaida zima antivirus au window defender

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejaribu kuangalia afya ya hard disk yako maranyingi ndio huwa inasababisha yote hayo. Sometimes inachelewa kukamilisha mchakato au inakupa hiyo notification.
 
Kwa hapo fanya kutengeneza boot nyingine kama upo na .iso ya hiyo window na kama huna download nyingine itakaa vizur lakini kama upo na CD au unaweza pata ikiwa na window tumia CD hua ni mala chache sana kwa window kua corupted
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom