Msaada Tafadhali juu ya afya ya uzazi

Msaada Tafadhali juu ya afya ya uzazi

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,334
Reaction score
12,466
Hellow wanabodi naomba kujuzwa madhara ya punyeto kwa mda mrefu zaidi ya miaka 8, Na nizipi njia za kusaidia kuacha hiyo tabia?
Na vipi kuna naamna ya kurudisha nguvu za kiume znazopotea kwa ujinga huo?
Nisaidieni madaktari
 
1. Punyeto haipunguzi nguvu za kiume.
2. Madhara makubwa ya punyeto ni kuwa mtu wa kufanya mala kwa mala (consume time) na kuacha mambo ya msingi.

3. Kuna mahusiano makubwa kati ya nguvu za kiume na ukakamavu wa mwili wa kawaida, (yani uwezo wa kufanya mazoezi mengi ya kutoa jasho)

USIWE MCHELE MCHELE, UWANAUME NI KUTOKWA JASHO, KILA SIKU.
 
Back
Top Bottom