ungejiuliza kuwa raslimali za nch hii zimesaidiaje nch usingeyasema hayo.ila kwakua huna elimu ya uraia ndo maana uko hivi.Ww unafikirbnyumba za nyas zmeletwa na ccm zmeletwa na uvivu wa baba ako wenzake wakienda shule yy anaenda kutafuta makusu acha afie huko manyasini
Kweli JF sasa chaka.Wasalaam Wanabodi,
Ninayo heshima kubwa kuwasilisha maombi yangu kwenu kwa yeyote mwenye ile clip ya mh Juma Duni Haji akiimba na kucheza ule mwimbo wa ccm ndembe ndembe.... Kifo cha mendee.... Chaliii. Hivi mheshimiwa huyu niliskia alisharudisha ile kadi ya cdm baada ya lile tukio la chama hicho kuanguka kifo cha mende.
Je swala hilo ni kweli? Mkuu Lizaboni najua wewe maktaba yako ipo vizuri ni matumaini yangu kuwa maombi yangu hayo yatatekelezwa.
Natanguliza shukurani
Naomba clip mkuuKweli JF sasa chaka.
Suala la Duni lipo wazi.Sheria haziruhusu mgombea mwenza kutoka chama tofauti na hii ndiyo sababu kubwa ya Duni kuiunga CDM.Ni jambo lililokuwa wazi kwa watu wenye upeo.
Nimeandika "watu wenye upeo".Naomba clip mkuu
Iwe alivuta hela au la hilo sio muhimu.Muhimu ni kuwa Juma Duni kwenye magazeti ya leo amerudi kwenye chama chake cha cuf. Kuna ajabu gani nadhani ajabu ingekuwepo kama angejiunga ccm.Huko Lumumba tuambieni alivuta kiasi gani na toka kwa nani.Juma Duni Haji alishavuta hela yake na amerudi kwenye chama chake. Kule ilikuwa biashara tu
Tatizo chadema siyo chama cha siasa ni chama cha waigizaji na wapiga dealIwe alivuta hela au la hilo sio muhimu.Muhimu ni kuwa Juma Duni kwenye magazeti ya leo amerudi kwenye chama chake cha cuf. Kuna ajabu gani nadhani ajabu ingekuwepo kama angejiunga ccm.Huko Lumumba tuambieni alivuta kiasi gani na toka kwa nani.
Hio clip ninayo ila nashindwa kuiattach hapaWasalaam Wanabodi,