Chukua nambari ya Ustaadh Kova 0754034224.
Pia ya Ustaadh Mpinga yule wa usalama barabarani hii hapa 0754360046
sure R.I.P
Ndugu yangu vipi? Unanitakia ni R.I.P kwani nimesema nimekufa?
Mkuu tupe updates za safari,,mmefika wapi mpaka sasa na hali ya safari ikoje
Sasa tunaendelea na safari baada ya kupata lunch hapa Dodoma mjini. Nipo siti #1 , so nilimuambia konda aongee na dereva wake watuendeshe vizuri kwani wakizidisha speed nawapigia simu polisi nikawaonesha na namba nilizopewa humu. So far sijaona tatizo lolote, nawashukuru sana ndugu zangu wa Jf!