Msaada tafadhali: Controller and Auditor General (CAG) ni nani kwa mujibu wa Katiba ya JMT?

Maoni aliyoyatoa CAG sidhani kama yqnatokana na ripoti iliyoandaliwa na ofisi yake. Kama ipo kwenye ripoti atapona, vinginevyo Ndugai atamning'iniza.
Sasa udhaifu wa bunge ameupimaje kama hajatumia ripoti za ofisi?
 
Nafikiri tukijua dhamana aliyonayo CAG kikatiba pamoja na majukumu yanayomzunguka itatusaidia sana siku za usoni kufanya rejea.

Nauliza swali hili baada ya kukumbuka kuwa wakati fulani katika bunge la mama Makinda mbunge wa ubungo mh JJ Mmyika alidai bungeni kuwa Rais Kikwete ni dhaifu ( ipo tofauti kati ya Rais Kikwete na mh Kikwete). Sikumbuki Mmyika alichukuliwa hatua gani ila ninachofahamu ni kuwa mbunge ana kinga azungumzapo akiwa bungeni.
Kadhalika sikumbuki kama mstaafu Kikwete alitunisha msuli kuwa kadhalilishwa.

Kwa kuwa tupo hapa jamvini kujifunza pia, naomba nijibiwe swali langu tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Mnyika alim attack kikwete as individual sio mhimili.serikali sio Rais,Prof Assad ame attack bunge Kama mhimili.Kwahiyo Kuna tofauti hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika angeweza kumuita chemba mzee mwenzie wakayamaliza kiutu uzima bila tension kama hii ya sasa.

Hapa naona bifu kama la bosi wa Takukuru na DPP enzi za JK kurushiana lawama huyu hafanyi kazi yake kwa kesi tunazo mpelekea ndio maana mafisadi hawachukuliwi hatua kwa wakati.
Na kiki zibaki na nani?
 
Back
Top Bottom