"NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU" socrateshah aha haahaha....mi abt IT m ova 0
sjui lolote kaka
ningekusaidia...
poyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....:A S-baby:
"NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU" socrates
Kwahiyo alikuwa kilaza wa miwsho huyu..lol!!
wote Vilaza basi.. hata anayejijua hajui ni kilaza..the defining point here is "wote hawajui"..ryt?:A S-baby:apana.
kilaza ni yule anayejijua anajua kumbe ajui
anayejua kuwa hakuna alolijua ni kipanga.....THK BG:sleepy: