yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,779
- 1,227
Heshima kwenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu maelezo ni kuwa napoanza ku-instal itaenda kidogo punde italeta ujumbe huu 'setup cannot find groove.en-us\groovemuiset.msi.
Browse to a valid installation, and then click ok. Sasa nimejarib ku-gesi kwenye folder tofauti+2 inaniandikia invalid
mwenye kuweza tatua hili naomba msaada:-@
Browse to a valid installation, and then click ok. Sasa nimejarib ku-gesi kwenye folder tofauti+2 inaniandikia invalid
mwenye kuweza tatua hili naomba msaada:-@