Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,029
- 22,569
Simu za zamani shida yake kubwa ni apps za sasa haziendani na os iliyokuwepo na kusababisha apps ku crash mda mwingi pia storage na hata ram zake ni ndogo inajaa mapema na kushindwa kufanya kazi vizuri.
Ni vyema kuitengeneza ukatumia kwa sms na calls tu, Usifanye update/ installation ya apps.
Ni vyema kuitengeneza ukatumia kwa sms na calls tu, Usifanye update/ installation ya apps.