Msaada Tabora

Msaada Tabora

Nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
2,232
Reaction score
3,334
Wadau naelekea Tabora. Kiwanja gani kizuri kinafaa kwa ajili ya matanuzi ya Weekend?
 
Thanks mkuu
then ukishapata mwenyeji hapo atakuelekeza wapi pa kwenda!!, ila kumbuka ka mji ka Tabora ni kadogo mno!!

Wanyamwezi ni watu wakarimu sana, usijali kabisa kuhusu usalama wako, cha msingi uwe na chochote mfukoni kukuongezea confidence!!
 
Wadau naelekea Tabora. Kiwanja gani kizuri kinafaa kwa ajili ya matanuzi ya Weekend?

Skis man, Leo Ijumaa nenda pale zero grossary kunakuwa bomba Sana kuanzia saa mbili hadi NNE night kuna totoz balaa. Ikifika saa nne nenda orion tabora hotel kuna zilipendwa na totoz classic ila bei yao mbaya. SAA sita am a saba hivi jimwage Tabora one club mkabala na geti la chuo cha uhazili. Halo kesha,,,totoz balaa.

Kesho Jumamosi asubuhi nenda PPP Pub pale mkabala na geti la kitete hospitali kwa ajili ya supu. Baada ya supu unawez Zuga kwa kwenda pale Kwihara kutembelea tembe la Dr Livingstone ni bomba sana. Then saa sita hivi jimwage pale NBC club kwa ajili ya kitimoto. Tabora nzima walaji hukutana hapo Jumamosi kwa ajili ya mdudu. Then saa kumi hivi jongea sehemu moja inaitwa Mnadani ukale mbuzi wa kuchoma mkuu, bei no saw a na bure. Saa moja moja kaoge then jimwage Frankman Hotel pale Ally Hassan Mwinyi stadium ushangae totoz then saa mbili hivi wahi orion hotel hii huwa lady's free huwa no mafuriko. SAA Saba kamata zigo lako kaliumize.

Jumapili nenda kanisani katubu maujing.a uliyofanya pumzika then jiandae kurudi kwenu sijui wapi hata. Ukitaka taxi ya dereva muaminifu sema.

Need I say more?

Pangu Pakavu.
 
Hivi tabora kuna kiwanja cha mpira???
 
skis man, leo ijumaa nenda pale zero grossary kunakuwa bomba sana kuanzia saa mbili hadi nne night kuna totoz balaa. Ikifika saa nne nenda orion tabora hotel kuna zilipendwa na totoz classic ila bei yao mbaya. Saa sita am a saba hivi jimwage tabora one club mkabala na geti la chuo cha uhazili. Halo kesha,,,totoz balaa.

Kesho jumamosi asubuhi nenda ppp pub pale mkabala na geti la kitete hospitali kwa ajili ya supu. Baada ya supu unawez zuga kwa kwenda pale kwihara kutembelea tembe la dr livingstone ni bomba sana. Then saa sita hivi jimwage pale nbc club kwa ajili ya kitimoto. Tabora nzima walaji hukutana hapo jumamosi kwa ajili ya mdudu. Then saa kumi hivi jongea sehemu moja inaitwa mnadani ukale mbuzi wa kuchoma mkuu, bei no saw a na bure. Saa moja moja kaoge then jimwage frankman hotel pale ally hassan mwinyi stadium ushangae totoz then saa mbili hivi wahi orion hotel hii huwa lady's free huwa no mafuriko. Saa saba kamata zigo lako kaliumize.

Jumapili nenda kanisani katubu maujing.a uliyofanya pumzika then jiandae kurudi kwenu sijui wapi hata. Ukitaka taxi ya dereva muaminifu sema.

Need i say more?

Pangu pakavu.

mkuu umetisha .......wape hai saut tabora
 
Back
Top Bottom