hapo ushamchanganya kabisa ingawa maelezo ni murua and very satisified kwa mtumiaji...kuna app ya kulipia inaitwa link to sd ipo playstore jaribu kuitafuta. Au kama huna hela ya kulipia fanya hivi kuipata hiyo app.
1]download app inaitwa appvn (haipo playstore itafute kawaida kwa kutumia browser yako)
2]install hiyo app na login kwa kutumia either fb au g+
kama umeroot simu yako endelea na hatua ifuatayo.
3]ingia playstore then nenda kwenye top paid apps then scroll down hadi uikute hiyo link to sd. then ifungue then chini utaona kialama cha kushare
4]click kwenye share then select share with appvn
5]then download and install then ukilaunch inajieleza yenyewe.
kama hujaroot.
igiaplaysstore then itafute hiyo app then check developer wake. Baada ya hapo launch appvn na usearch hiyo app kwa jna plus developer (ili kuwa na uhakika kuwa unainstall app iliyokusudiwa). Zikija nyingi just point out ya yule developer unayemtaka install then you are done
hapo ushamchanganya kabisa,ingawa maelezo yako yapo murua sana and very satisfying kwa mtumiaji,ila kwa swali lake,hili jibu litageuka kuwa swali jingine gumu kwake,ngoja tusubiri tuone...kuna app ya kulipia inaitwa link to sd ipo playstore jaribu kuitafuta. Au kama huna hela ya kulipia fanya hivi kuipata hiyo app.
1]download app inaitwa appvn (haipo playstore itafute kawaida kwa kutumia browser yako)
2]install hiyo app na login kwa kutumia either fb au g+
kama umeroot simu yako endelea na hatua ifuatayo.
3]ingia playstore then nenda kwenye top paid apps then scroll down hadi uikute hiyo link to sd. then ifungue then chini utaona kialama cha kushare
4]click kwenye share then select share with appvn
5]then download and install then ukilaunch inajieleza yenyewe.
kama hujaroot.
igiaplaysstore then itafute hiyo app then check developer wake. Baada ya hapo launch appvn na usearch hiyo app kwa jna plus developer (ili kuwa na uhakika kuwa unainstall app iliyokusudiwa). Zikija nyingi just point out ya yule developer unayemtaka install then you are done
Umesema haipo play store lkn tena hapo mwishon unasema kama cjaroot simu niingie play store kuangalia developer wake: hapo cjaelewa mkuu.kuna app ya kulipia inaitwa link to sd ipo playstore jaribu kuitafuta. Au kama huna hela ya kulipia fanya hivi kuipata hiyo app.
1]download app inaitwa appvn (haipo playstore itafute kawaida kwa kutumia browser yako)
2]install hiyo app na login kwa kutumia either fb au g+
kama umeroot simu yako endelea na hatua ifuatayo.
3]ingia playstore then nenda kwenye top paid apps then scroll down hadi uikute hiyo link to sd. then ifungue then chini utaona kialama cha kushare
4]click kwenye share then select share with appvn
5]then download and install then ukilaunch inajieleza yenyewe.
kama hujaroot.
igiaplaysstore then itafute hiyo app then check developer wake. Baada ya hapo launch appvn na usearch hiyo app kwa jna plus developer (ili kuwa na uhakika kuwa unainstall app iliyokusudiwa). Zikija nyingi just point out ya yule developer unayemtaka install then you are done
appvn haipo playstore but link to sd ipo na ndio nasema uichek playstoreUmesema haipo play store lkn tena hapo mwishon unasema kama cjaroot simu niingie play store kuangalia developer wake: hapo cjaelewa mkuu.
Asante pia kwa msaada wako mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
kwasababu hiyo version ni latest jaribu kucheki huku unaweza kupata msaada
Hii haifanyi kaz kweny Simu yangukwasababu hiyo version ni latest jaribu kucheki huku unaweza kupata msaada
Namna ya kuhamishia App katika Memori kadi! [HASHTAG]#Maujanja[/HASHTAG] - TeknoKona
jaribu kugoogle pia na youtube unaweza kupata tutorial ya kukufaa